Mahaba Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mahaba - pittyBoy
...
siku hizi hakuna Mahaba yeh Mahaba mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha Ni neema ukiwa uhema mapenzi yanachosha yanafuja raha nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa uchungu wa kulia daily mapenzi yalinifanya nisile sina kumbukumbu Ile kwamba ulinitosha noo uchungu wa kulia daily mapenzi yalinifanya nisile sina kumbukumbu Ile kwamba ulinitosha noo mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh mi nilikufa nikazikwa nikaoza mapenzi yalinitupa nimefufuka yeh