Nakupenda ft. Jay melody Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2023
Lyrics
Nakupenda ft. Jay melody - pittyBoy
...
iwe giza baridi na upepo
iwe kuna mawingu na minyesho
your body baby joto
unafanya ni jihisi special
unanipa sababu ya uwepo
kando yako, wee Mtoto
my desire, wee nipee dawa
mi mahututi sijielewi oh! my love
shinda ni nimekolea penzini
shinda ni baby uko moyoni
weee we! nakupenda wee
nakutaka wee
kwako sijiwezi oh! my love
mpenzi wee! roho yangu wewe
kwako sijiwezi oh! my love
akili mwili baby