Mapenzi Shikamoo Lyrics
- Genre:Country
- Year of Release:2024
Lyrics
Mapenzi Shikamoo - pittyBoy
...
MAPENZI SHIKAMOO (LYRICS)
{intro}
yalimtesa bibi iih!
yakamtesa babu uuh!
{wengine kwao panadol
wengine yana waumiza roho x2}
{intro}
yalimtesa bibi iih!
yakamtesa babu uuh!
(wengine kwao panadol
wengine yanawaumiza roho!x2)
{verse.1}
{vanny boy anasema unaingia chumbani ujatomasa unachanua,
ikasikika wakisema aah! ah! ah! eeh!
(zilipendwa) x2}
hapo papo nikajitia udigitali eti mapenzi nayajua,ila sasa nakula kiapo kikali maana sinto jisumbua.
kangu kamoyo kanaugua {ugua}
mapenzi yananisumbua {sumbua}
kangu kamoyo kanaugua {ugua}
mapenzi yananisumbua {hey!}
{hook}
mapenzi shikamoo heshima yako,
nakupatia.
mapenzi shikamoo heshima yako,
{ooh uh wooh!}
{chorus}
ooh! mapenzi, mapenzi shikamoo
mapenzi shikamoo
ooh! mapenzi, mapenzi shikamoo
mapenzi shikamoo
{shikamoo, shikamoo, shikamoo}
mapenzi shikamoo x2
{verse.2}
ety wanasema mapenzi pesa,
kunawenye pesa na yanawatesa .
(hey!!!)
wanasema mapenzi pesa,
kunawenye pesa na yanawatesa ah!
(yalimtesa bibi iih ih!
yakamtesa babu uuh!
tena bila sababua aya mapenzi
aya mapenzi niya ajabu x2)
wengine mpaka wanasaka doo! pesa
mali
ety wakidhani watakuwa mahodari
ila bado mapenzi yanawapiga
chali mpaka wengine wanajikatisha
uhai
wengine mpaka wanafanya ndumba na ulaghai
ety wakidhani watakuwa ka mumbahi
ila bado mapenzi yanawapiga chali
mpaka wengine
wanajikatisha uhai.
{bridge}
Huko kujichanganya ,changanya
(acheni!)
kujidanganya danganya( isee!)x2
Repeat hook
&
chorus
{ah ,ah,ah,ah,ah,ah,ah,ah,aaah!
ah,ah,ah,ah,ah yanatesa
ah,ah,ah,ah
mapenzi yanaumiza
aaah! x2}
( wengine kwao panadol
wengine yanawaumiza roho x2)
aah! ah!
{it's pittyBoy}