![Mtakatifu (Holy)](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/20/d03e4bfa40f047ef989b30aad6e0ad7a_464_464.jpg)
Mtakatifu (Holy) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Mtakatifu (Holy) - Mercy Masika
...
Mtakatifu ni wewe Yesu.
Mtakatifu, mtakatifu ndiwe bwana wa majeshi
mbingu na nchi zimejawa na utukuuuufu wako. (×3)
Uliyesema na upepo ukakutii, bahari ilikuona ikakimbia, mifupa mikavu yaweza kuwa jeshi, kila kilichokufa bwana wakirejesha. (×4)
Warejeesha, warejeesha mifupa mikavu heee
Unasema na upepo unakutii heeeheehee
Sema ni wewe, ni weweeee wakuabudiwaaaa
Sema ni wewe, ni weweeee wakupewa sifaaa
(×2)
Heee twakwabudu milele
Unayerejesha mifupa mikavu
Twakupa sifa Leo, ni wewe ,ni wewe
Lyrics by Nduta