![Pambe Tu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/08/180033aa1cf84b769a733282fc74bab5_464_464.jpg)
Pambe Tu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2024
Lyrics
Pambe Tu - Lava Lava
...
Kwakwe kitako nimechagama, bila hiyana.
Kama maji yametuhama, was was hana.
Ruba tumegandana mpaka kiama
Keshen mkitusakam wanadama.
Mmmmmmmmhmmmmmmm
Siwalaum, Siwalaum wenzang
Roho zauma, mie kupendwa na yeye
Siwalaum nalijua kosa langu
Ninachondani chuma, kimenichagua mwenyw
Eeeh katamka wazwaz, shaidi ardhi dunia.
Mie nae mpaka akhera.
Ukiwatoa Wazaz mie ndo nae nafatia. Poleni ka nawakera.
Najimwaya mwaya, sio bahir hanipi kwa mafung*2.
Akipata muchele anakuna na nazi.
Hanipa vya kiswahili na vyakizungu uzungu.
Vya chalinze ukwere hadi vya kizimkazi.
Waja acheni viburi, penzi