
Asante ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2024
Lyrics
Asante ft. Rayvanny - Otile Brown
...
uuuh mmm
pendo ni baraka
uwe maskini au tajiri
mwisho wa siku ushindi mkubwa furaha na amani
aaah aaah
pendo ni kwa neema kuna wewe umejaliwa mali
ila ndio sasa wamepungukiwa mapenzi
ni amini beibee
mimi ni wako kwako nashikamana hivo *2
asantee asantee
kwa kunipenda,,kwa kunipenda*2
mmmh mmmmh
nimechoka kumficha aaha
wacha leo mumuone beibe wangu ndio huyu
ndio huyu ndio huyu
nimeweka na mapicha ahaaa
mtandaoni mumuone
beibe wangu ndio huyu
ndio huyu ndio huyo
nimeona wengi siwataki
beibe nakutaka wewe
nimeona wengi siwapendi beibe
nakupenda wewe
oooh eeeh
aiii urembo wako aiiii
ukiongeza make up
uta multiply
why my
mwenzako nadai ulivyo mzurii
walai i don't lie
niamini beibe mimi ni wako
kwako nashikamana hivyo
niamini beibe mimi ni wako
tusiwache pendana hivyo
asante asante kwa kunipenda
kwa kunipenda
asante asante
kwa kunipenda kwa kunipenda