![Mama](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/18/fec09a4ef3d4458086bb46894574b728_464_464.jpg)
Mama Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Mama - Otile Brown
...
Otile Brown – MAMA Lyrics
MAMA Lyrics – Otile Brown
Sema mami natamani anga mara moja uamke nikuone
Sikuwahi kukuambia nakuoenda kabla uondoke
Na ina ichoma moyo wangu
Ina ikwaza nafsi yangu
Mana sikupada mda mama yangu
Ya kuomba msamaha wa kosa langu
Sometimes najifungia chumbani mwenyewe
Najiliza kama mtoto
Je unajivunia mimi kua mwanako wewe
Kwenye hii dunia yenye changa moto
Tena bado nazingatia mafunzo yako
Busara heshima na upole
Ingawa binadamu kazi
I miss you
Yani leo zaidi ya jana
Hasa siku kama hii
I miss you
Nimejifunza mengi sana toka uniage mama
Mapenzi mwenyewe mama yako
Mungu akue radhi daima
Kipenzi changing cha moyo
Cha kukulipa sina
Shukrani kwanza kwakunileta hii dumia
Ungeweza kuitoa mimba yangu
Ila ukachagua ni ishi mama
Ninakuonaga unavyojinyima nipate
Izo shida nazishuhudia
Nasijawai kujutia kua mwanao mama
Ahh mama nataka ujue nashukuru
I love you
Yani leo zaidi ya jana
I love you mama
Na najitahidi sana nikupendeze mama yangu
Na bado nazingatia mafunzo yako
Busara keshima na upole
Ingawa binadamu kazi