Aiyana ft. Sanaipei Tande Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Aiyana ft. Sanaipei Tande - Otile Brown
...
Na toto kanikosha
Fundi aki ya mungu anajua adi anachoshwa
Toto zinapiga bila kuonga
Yah kwake ujanja sina kanichuma kama mboga
Nipe kwenye kiti kwenye sofa
Kitanda cha malocks
Mama hiyo tight ulivyoijazagaa
Taratibu mama usije ukachana
Nitamutoza baby closer
Oh mama take your clothes out
Let's make love in a Rover
Inama kio kidogo (Aiyana)
Fanya kama unapiga deki (Aiyana)
Beckie gimmie some cake (Aiyana)
God bless your mama Aiyana Hey!
The way you move your waistline Aiyana
Na, na, na mmh mh
God bles your father Aiyana Hey!
Umogo magharibi baby Aiyana na na mh
Basi baby amusha wacha kudinda
Nasema baby amusha waacha kudinda
Nasema baby amusha
Nakama radi ata imechemsha poza kwa maji
Nakutengemea fundi machine unipee service
Mimi mwenzio kwako nimeka natia kambi
Come here mae ah chop your money baby
Come closer, baby closer
Ouh baby take your clothes out
Let's make love in a Rover
Inama kio kidogo (Aiyana)
Fanya kama unapiga deki (Aiyana)
Beckie gimmie some cake (Aiyana)
God bless your mama Aiyana Hey!
God bless my mama mama
The way you move your waistline Aiyana
Na, na, na mmh mh
God bles your father Aiyana Hey!
Umogo magharibi baby Aiyana na na mh
kuu uh kuu
Assa ukishika (kaka)
Pumzi sina natapatata (tapa)
Boy you know I can get it over you uu
ssa ukishika (kaka)
Pumzi sina natapatata (tapa)
Boy you know I can get it over you uu
Basi tegemusha rusha kidinti (Aiyana)
Nasema teghemusha rusha kidinti (Aiyana)
Oh mama take your clotes out (Aiyana)
Let's make love in a rover (Aiyana)
Inama kio kidogo
Fanya kama unapiga deki
Beckie gimmie some cake