I Need You Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
I Need You - Otile Brown
...
Uwooo uwooo uwooo wooo wooo...
running over time...
unanipa vigezo na sababu ya kukupenda tuu..
amani nayoipata kwako inanifanya nataka kuwa na wewe tuu..
Na matatizo yetu tuna-yatatua wenyewe tuuu...
I knew you are the woman of my life kisa busara uliyo nayo tuu...