![Watoto Na Pombe ft. Mejja](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/08/75/rBEeM17XZtaAA8IvAAFY9LkmlX4011.jpg)
Watoto Na Pombe ft. Mejja Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Napiga hela kama benki wanaiga swaga ila haiketi
Looku sipigi fake hutonikuta nimevaa fendi Loius Gucci au Prada pengine glass au mkanda
Nakata madem wakali zaidiya Donna Tanasha, Simba wenu mla nyasi menu hainaga nyama
Sishoboki hata ngoma zikibuma, still sassy spendi mazoea hata ukinchekea nauchuna
Baby whats your name kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi kama tinga limezima ita taxi.
And its all on me but don’t ask for my number
Napenda watoto wenye darasa punguza selfie ntakukacha
Watoto na Pombe
Watoto na Pombe
toto na Pombe
Nilichifata ni watoto na pombe…..
Watoto na Pombe
toto na Pombe
Pombe………….
Toto
Pombe………….
Toto
Okwonkow
Wananiita Sultan huku ghetto Njoo nikuonyeshe Maisha ya Majengo
Tupitie mpambe tule wali tuende pangani tuchane majani
Ah naona umevaa mini naunashinda ukiivutvuta chini
Ni hyo haga inaiinua sio siri samahani ni macho sio mimi
Tumefika humu ndani ya giza Usijali bei nitalipa
Kidogo msupa akaitisha nikaskia ameiitisha kingfisher
Eeh If you know you know kingfisher panty remover
Manze ni leo leo ndio leo manyundo leo watoto na vileo
Baby whats your name kuja ujumuike nasi
Kamata kinywaji acha wasiwasi kama tinga limezima ita taxi.
And its all on me but don’t ask for my number
Napenda watoto wenye darasa punguza selfie ntakukacha
Watoto na Pombe
Watoto na Pombe
toto na Pombe
Nilichifata ni watoto na pombe…..
Watoto na Pombe
toto na Pombe
Pombe………….
Toto
Pombe………….
Toto
--- www.LRCgenerator.com ---