![Umechelewa](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/19/aeb51fdfadd34e2aac66870aecfd97a9_464_464.jpg)
Umechelewa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
Umechelewa - Mbosso
...
Ulikua wapi wakati nalialia na mapenzi
Ulikua wapi wakati silali nakosa usingizi
Ulikua wapi wakati nashindwa kula chakula
Ulikua wapi mbona umechelewa
chorus
Mbona umechelewa , mbona umechelewa
Mbona umechelewa , mbona umechelewa
Eehe, Ohoohoo
Nilipelekwaputa sikubembelezwa kupewa hadhi,
Nikala vya mafuta wakati mi hadhi yangu ya nazi
Kumbe hata kitandani nilipaswa kupandishwa
Hata kula mwiko Yani, mi nilipaswa kulishwa
Kwa urefu wa mkono gani, mgongo kujisugurisha,
Mengine mapya ya chumbani wewe umenifundisha mbona
chorus
Mbona umechelewa, mbona umechelewa
mbona umechelewa , mbona umechelewa
Eeehe, Oohooh
Kijiti eeh kijiti oho kijiti
Kakishishika kimemchoma kijiti kimemtoboa
kijiti eeh kijiti oho kijiti
kakishishika kimemchoma kijiti
Kama midomo chongeo kachongeni penseli
Mambo ya kwenye video si tunayafanya Kweli eehe
Kijiti eeh kijiti oho kijiti
kakishishika kimemchoma kijiti
Unataka embe dodo yanini urushe kota, tingisha mti kidogo chini utaziokota eh
kijiti eeh kijiti oho kijiti
kakishishika kimemchoma kijiti
wamdondo wamdondo uyo kuku wa madoa. amaliza mikorogo ngozi kujikoboa
kijiti eeh kijiti oho kijiti
kakishishika kimemchoma kijiti
uhh mwafurani mwisho wako barazani, mwafurani ushoga wazamani kuyajua ya chumbani
kijiti eeh kijiti oho kijiti
kakishishika kimemchoma kijiti
Odo Odo wangu Ooodo, nikidondoka unibebe oodo Odo odo
By Hamza Rashid Mwenda