![Mawenge ft. Mullaobo](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/13/a51fa29ff0f64b79895350c619ff4724_464_464.jpg)
Mawenge ft. Mullaobo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Mawenge lyrics
Intro
Maumivu yasikie tu
Maumivu moyoni
Mapenzi yasikie tu
Usiombe yakukutege
Chorus
Hamna cha mana kutwa wabadiri bar
Mawenge mawenge tu
Hamna cha mana kutwa washindia umbea
Mawenge mawenge tu
Mawenge mawenge tu
Mawenge mawenge tu
Mawenge mawenge tu
Labda nikikupungizia machozi
we ndo utaona upendo
Labda nikikupungizia na stress
we utaona upendo
Kutwa mawenge mawenge tu
Yan mawenge mawenge tu
Vigoro mawenge mawenge tu
Vibaota mawenge mawenge tu
Harusi kinondoni mawenge tu
Sare magomeni mawenge tu
Wanishangaza kutwa mawenge tu
Hautulii mawenge tu
Verse 1
Nilizani nmeokota dodo
Kumbe nimeokota kopo
Mchumba akaniingiza Chocho
Akachukua mpaka vya docho
Sikua najua kama mchana wanaonaga popo
Nisichojua labda huenda aliniona mi loko
Alizani vip baada ya kuniona iG
Mnyamwezi nmependeza unaweza sema jayz
Mambo ya self mara nipo na country weezy
Bada for free kwa sababu boss ni B
Kudadeki ndo ikawa bonge la mistake
Daily ye anaomba alizani zimesjaa bank
Birthday anataka zawadi zaid ya cake
Wakati mulla obo kula yangu potabombeki
Yashanchanganya mapenzi
Unanichanganyia mapenzi
Yashanipiga mapenzi unanipiga na Penzi
Yashanchanganya mapenzi
Unanichanganyia mapenzi
Yashanipiga mapenzi
Unanipiga na Penzi
Chorus
Labda nikikupuzia machozi
we ndo utaona upendo
Labda nikikupungizia na stress
we utaona upendo
Kutwa mawenge mawenge tu
Yan mawenge mawenge tu
Vigoro mawenge mawenge tu
Vibaota mawenge mawenge tu
Harusi kinondoni mawenge tu
Sare magomeni mawenge tu
Wanishangaza kutwa mawenge tu
Hautulii mawenge tu
Verse 2
Nyumbani hutaki lala we unalala kwa mashosti
Unaomba pesa hujala snap kuku unapost
Bad news kwamba now staki kukuforse
Labda sio riziki nisije jibebea mikosi
Mama alisema nikupeleke nyumbani
Nawaza itakua vp na kwako Sina Imani
Umekua kama pipi umeyeyukia kinywani
Mpaka marafiki zangu hawakutamani
Umekua used choosed
Bettry ya kuboost
Key haikai labda base bila accoustic
Penz nitabullshirt
Anaona machozi yanaanza lenga mopao kwanza pose beat
Chorus
Labda nikikupungizia machozi
we ndo utaona upendo
Labda nikikupungizia na stress
we utaona upendo
Kutwa mawenge mawenge tu
Yan mawenge mawenge tu
Vigoro mawenge mawenge tu
Vibaota mawenge mawenge tu
Harusi kinondoni mawenge tu
Sare magomeni mawenge tu
Wanishangaza kutwa mawenge tu
Hautulii mawenge tu
Autro
Nilizani nimepata kumbe nimepatikana
Ai nimenasa
Nimeramba garasa jama zero
Ai nimenasa zero
Maji nimechota kwa pakacha zero ai zero
(Yoh badman MOPAO)
Nmeramba garasa jama zero
(Obo nabania )
Cha mtema Kuni nakipata zero
Ai nimenasa zero x3