Shemeji Yako w/ Mzee Wa Bwax Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Shemeji Yako w/ Mzee Wa Bwax - Mbosso
...
eyoooh Kenny
macho macho
na mbosso khani tenaa
wewe mwanangu (mwanangu) wa kufa na kuzikana
lako langu
angekuwa mwengine tungeuwana
shemeji yako akikutunuku usiogope ruka nae
kiroho Safi baaaria hauna baya chafu yangu
wee nasema kama akikutunuku usiogope ruka nae
kiroho safi baria hauna baya chafu yangu
mbona shega mpaka kucha we simamia