![Tajiri Remix ft. 2Fani & Chobmac](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/28/ce6e68066d4e428f8ac7783619b471b0_464_464.jpg)
Tajiri Remix ft. 2Fani & Chobmac Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Tajiri Remix ft. 2Fani & Chobmac - Lava Lava
...
Nilikupigia simu
Charge ikakataa
Nikakutilia team
Mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
........ Haloooooo......
........ Haloooooo.......
........ Haloooooo.....
.........Haloooooo......
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Tulikaaa kinyonge sanaaaa
........ Tajiri...........
Weita leta tungi na nyamaaa
. ....... Tajiri..........
Bebe ziletee savanna
..........Tajiri..........
Tajiri atalipa bwanaaa
...........Tajiri..........
Kwanza hauna baya
Haujalogwa ukifa huozi
Weee cheki ulivyopendeza
Yani kama lily wizy
Kwanza hapa hapajanoga
Tajiri twende mbezi
Boss tusichukue Boda
Tu request rolls roise
........Huna aduiii.........
........Ukifa huozi.........
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Nana mapoziiii
.....
..
Yalaaa tobaaa
Aiiii aiiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
............
Nilikupigia simu
Charge ikakataa
Nikakutilia team
Mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
........ Haloooooo......
........ Haloooooo.......
........ Haloooooo.....
.........Haloooooo......
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Tulikaaa kinyonge sanaaaa
........ Tajiri...........
Weita leta tungi na nyamaaa
. ....... Tajiri..........
Bebe ziletee savanna
..........Tajiri..........
Tajiri atalipa bwanaaa
...........Tajiri..........
Kwanza hauna baya
Haujalogwa ukifa huozi
Weee cheki ulivyopendeza
Yani kama lily wizy
Kwanza hapa hapajanoga
Tajiri twende mbezi
Boss tusichukue Boda
Tu request rolls roise
........Huna aduiii.........
........Ukifa huozi.........
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Nana mapoziiii
.....
..
Yalaaa tobaaa
Aiiii aiiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
............
Nilikupigia simu
Charge ikakataa
Nikakutilia team
Mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
........ Haloooooo......
........ Haloooooo.......
........ Haloooooo.....
.........Haloooooo......
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Hafadhaliii nimekuona
Hafadhaliii tumeonana
Tulikaaa kinyonge sanaaaa
........ Tajiri...........
Weita leta tungi na nyamaaa
. ....... Tajiri..........
Bebe ziletee savanna
..........Tajiri..........
Tajiri atalipa bwanaaa
...........Tajiri..........
Kwanza hauna baya
Haujalogwa ukifa huozi
Weee cheki ulivyopendeza
Yani kama lily wizy
Kwanza hapa hapajanoga
Tajiri twende mbezi
Boss tusichukue Boda
Tu request rolls roise
........Huna aduiii.........
........Ukifa huozi.........
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Dj juki
Dj juki
Wa leteeeee
Nana mapoziiii
.....
..
Yalaaa tobaaa
Aiiii aiiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
Yalaaa tobaaa
Aiiiii aiiiii
............
Nilikupigia simu
Charge ikakataa
Nikakutilia team
Mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu
Ntakulaje bata
Wewe ni mtu muhimu
Nikiwa nawe najipata
........ Haloooooo......
........ Haloooooo.......
........ Haloooooo.....
.........Haloooooo......
Tajiriiiiiiiiiiii
Wanangu wamekaa kinyonge
Wameagiza maji
Hawana vibe mchawi pombe bwana
Tajiriiiiiiiiiiii
Bebe zimekaa kinyonge
Wamependeza..
Hawana kitu mchawi pombe
Haiyaaa twendeee
Weita leta shisha
........Tajiriiiiiiiiiiii hatalipaaa.....
Shusha bapa shushaaa
.......Tajiriiiiiiiiiiii hatalipaaa......
Weita leta shisha
........Tajiriiiiiiiiiiii hatalipaaa.....
Shusha bapa shushaaa
.......Tajiriiiiiiiiiiii hatalipaaa......
Kwanza tukilewa hatupandi juu ya meza
Tunapanda kwenye spika..
Panda kwenye spika...
Cheza kwenye spika...
Ruka kwenye spika... .
Cheza kwenye spika...
...... Bhanaa.....
Panda kwenye spika...
Cheza kwenye spika...
Ruka kwenye spika... .
Panda kwenye spika...
...........Babaaa.............
Wanangu eeeeeeh
...... Eeeeeeeeh.....
Wanangu eeeeeeh
.......Eeeeeeeeh.....
Mlisema ngoma ikipigwa
Hapo kati mtatimuaa...
Wanangu eeeeeeh
...... Eeeeeeeeh.....
Wanangu eeeeeeh
.......Eeeeeeeeh.....
Mlisema ngoma ikinoga
Apo kati mtatimuaa....
Hasa timua nioneee
.... Kivumbi Leo....
Timua nioneee
.... Kivumbi Leo....
Timua timuaaa
....Kivumbi Leo..
Timua nionee
..... Kivumbi Leo...
Hasa timua nioneee
.... Kivumbi Leo....
Timua nioneee
.... Kivumbi Leo....
Timua timuaaa
....Kivumbi Leo..
Timua nionee
..... Kivumbi Leo...
.............................
.............................
Lyrics by:@Rizzo_Hq75