![Lala Amka](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/5C/98/rBEeMloqWEKAC6fEAAD7mTu386o811.jpg)
Lala Amka Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2017
Lyrics
Lala Amka - Bahati
...
EMB records
Niwe wako toka Monday Tuesday nisikusahau Maulana ikifika Friday,Sunday kanisani niwe ibada
niwe wako toka Monday Tuesday nisikusahau Maulana
ikifika Friday, Sunday kanisani niwe ibada
basi chezade danside ukiwezade kama Daude
chezade danside ukiwezade hata kidekide
tuna lala amka lala amka Yesu anapepea
tuna lala amka lala amka zidi kutuombea
tuna lala amka lala amka Yesu anapepea
tuna lala amka lala amka zidi kutuombea
maisha yasizidi nikusahau Mwenyezi baba
ucelebu burudani nikusahau na Yesu baba
nisiwe kama mwana mpotevu
nifanye mwaminifu ka Josefu
nisiwe kama mwana mpotevu niepushe majaribu ka Ayubu

Producer Paulo
EMB records