Msanii Bila Pressure Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Rooch Mazeh, once again
Again again
Ati mi ni msanii na sina pesa? Mi ni msanii bila pressure
Ngoma inanifanya mi nakesha. Ni kujitesa?
Apana. I do it for leisure
Jo ni wikendi zishanishika
Kufika base mamorio wamebangaiza
Mmoja akawika Roachela tupe freestyle
No pressure skia zikitiririka
Rooch Mazeh, eeh ni mi kwenye speaker
This year ukishaniskia your best rapper anabadilika
This time, hii industry nageuza katiba
Marapper watanipisha. Hii level hamwezi fika
Naifanya simple nataka tu kuskika
Show mi ntapiga, usanii lazima itajipa
Umekua ukiniuliza. Bro ni lini utafika? Ah, mi ukatsika next time io ni vita
Rooch Mazeh
Ngoma haiezi nitatiza. Ati msanii bila pesa? Mi ni msanii bila pressure you know
Kila dakika kwa hii jungle mi ndo simba
Wengi wanabahatisha waambie wafyate vinywa
Eeh? Unadhani nimemaliza? Buda tulia, kwanza tingiza kichwa
Walai mi hudeliver Baba apewe sifa kipaji amenipa
Jah bless
Bado mi naeza imba. Kweli kabisa, utakatika
Watadance
Round hii mi nawazima. Watanitafuta kabla sjawakuta
Ati mi ni msanii na sina pesa? Ah ah, mi ni msanii bila pressure
Eeh? Skiza story nawapea. Mi nawaelezea ndo msiulize tena
Ey, mtaani bado natesa. Uku mi ndo kusema so ntatema siezi hema
This year naifanya major. Stambui venye watasema
Nawakata bila razor. Tayarisha majeneza
Ah ah, nyi mtasurrender
Nawakimbiza wananiita Tergat
Wako na ngoma mingi but vitu wanasema
Ingawa mnazipenda mi zishanichokesha
For real hii mtaa mi sioni competition. Hakuna
Still underrated nawatoa teke
Nax V nawakilisha I'm a man on a mission
Ntaifanya hadi mwisho sijaai bahatisha
Mi ni rasta. Pia mi nazisaka. Zenye mi napata weh unasema nmekashata
Buda mi ni? Ras
Eeh, naona uko rada
Karao tukipatana atasema mi ni gangsta
Inakubalika, io ni mambo ya kawaida
Mi sijatajirika tho mi hulala nmeshiba
Izo pesa ndo sina ndo mi nawajibika
Ka hii sasa ndo freestyle si ata ungenilipa
Siku itafika naskizwa dunia mzima
Nidunge izo masilver wanijue jina
Niskie wakiniita kila mara mi napita
Alafu wanipige picha ivo ndo mi namaliza
Ati mi ni msanii na sina pesa? Ah ah, mi ni msanii bila pressure
Eeh? Skiza venye mi natema. Vile nimesema si nishawateka
Ey, mtaani bado natesa. Uku mi ndo kusema so ntatema siezi hema
This year naifanya major. Stambui venye watasema
Nawakata bila razor. Tayarisha majeneza
Msanii Bila Pressure
Ati mi ni msanii na sina pesa
Mi ni msanii bila pressure
Ngoma inanifanya mi nakesha. Ni kujitesa?
Apana. I do it for leisure. Ndivo napenda
Na mi nina agenda
Maneno nimesema unaeza cheka ntakuelewa
Ambia huyo selekta hii ngoma angecheza juu imeweza na utapenda
Jinsi mi natema imewateka mahater wapate favor nawakemea
Weed ndo activator, cultivator na mi ndo terminator nawapepeta
Msanii Bila Pressure
Yeah, kama kawa. Rooch Mazeh kwenye speaker
Msanii Bila Pressure