Katikati Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Waah! Rooch Mazeh
Slim ama fatty fatty. Mi sijali gyal put it pon me
Crocks ama patipati. Drop down low pale katikati
Katikati, Katikati
Slim ama fatty fatty
Katikati, Katikati
Mi sijali gyal put it pon me
Katikati, Katikati
Crocks ama patipati
Katikati, Katikati
Drop down low pale katikati
One thing. Leo hatutaki masharti
Two, mangeus wako bila panty
And three, wasee niko na kisamting
4:20 ikifika lazima iende chain
For real, yeah, we do it like this
Mbogi ni ya kujinyc and we do it like this
Unanifeel? Je, nauliza unanifeel?
Dance kidesign pale katikati, ah
Fatty fatty na mapatipati. Put it pon me gal I know yo naughty
Mali safi pale kwenye party. Drop down low pale katikati
Slim ama fatty fatty. Mi sijali gyal put it pon me
Crocks ama patipati. Drop down low pale katikati
Katikati, Katikati
Slim ama fatty fatty
Katikati, Katikati
Mi sijali gyal put it pon me
Katikati, Katikati, Katikati
Katikati, Katikati
Drop down low pale katikati
Ngoma iende viral from Naks to Kanairo
Icon. African idol
Na mi huwaga psycho ndo maana mi husoma Bible. Ni kutafuta revival
Mashukisha ni vital. Na si ununue mayai
Haiya! Izo drinks zimewai
Waiter ni mfine. Amekuja na ngwai. Na ni keki walai, ah
Slim ama fatty fatty. Mi sijali gyal put it pon me
Crocks ama patipati. Drop down low pale katikati
Katikati, Katikati
Slim ama fatty fatty
Katikati, Katikati
Mi sijali gyal put it pon me
Katikati, Katikati, Katikati
Katikati, Katikati
Drop down low pale katikati
Pewa. Budaboss pewa
Na ukuje na wateja. Bora tu ni makwela
Weh itisha utapewa. Tunakutreat kama member
Mikono kwenye hewa
Umekuja umechelewa. Elewa, pia weh letewa
Morio unacheza? Hii siku utaremember
Utaimark kwa calendar. Pewa
Slim ama fatty fatty. Mi sijali gyal put it pon me
Crocks ama patipati. Drop down low pale katikati
Katikati, Katikati
Slim ama fatty fatty
Katikati, Katikati
Mi sijali gyal put it pon me
Katikati, Katikati,
Crocks ama patipati
Katikati, Katikati
Drop down low pale katikati
Katikati, Katikati
Katikati, Katikati
Drop down low pale katikati