Magithaa ft. Bazo Badize Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Hey Rooch
Unasemaje
Si ukam ivi kuna kiform? Mmh
Come utu-performie bana bana jo
Aaah, nakam usiwe na wasiwasi
Ai, come. Come saii
Nakam. Magithaa, magithaa
Sawa, sawa
Magithaa
Nakam magithaa. Ile ile masaa
Nakam magithaa. Ile masaa ya rasta
Nakam magithaa. Nakam magithaa
Ile ile masaa. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa
Ile masaa ya rasta. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa
Bado mapema weh jua nitakam nina hamu
Mziki imekubali cheki venye inanifaa
Na vile nimevaa, nitakuja magithaa
Niko na peddy wangu ndo nafunga mabidhaa
Hii ndo masaa
Najua pia weh ni fan lakini leo utakataa
Shika ukiburn zingine jo zikikam
Apa kuna madam anataka pewa some love
Gal uki-wine wine mimi huzubaa
Vile unafanya siezi kudefine
Na akidai dai mbona nikatae
Saii sina time nitakuja magithaa
Magithaa
Nakam magithaa. Ile ile masaa
Nakam magithaa. Ile masaa ya rasta
Nakam magithaa. Nakam magithaa
Ile ile masaa. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa
Ile masaa ya rasta. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa
Bazo Badize mi niko wera
Kamagira. Kuwagira
Kuwahehia. Weh jua ni kivela
Madem ninao nishaconsider weather
Acha kunena ka huna kitu ya kusema
Shika vela, tembeza
Ntawabeba eeh, ntawabeba
Nawaendea hadi magithaa
Oya buda, acha kuteta. Bei ni moja, dere beba
Siste unaenda? Beba beba
Mathe unaenda? Ata weh bebwa
Magithaa
Nakam magithaa. Ile ile masaa
Nakam magithaa. Ile masaa ya rasta
Nakam magithaa. Nakam magithaa
Ile ile masaa. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa
Ile masaa ya rasta. Nakam magithaa
Magithaa, Magithaa