Kasafari ft. Bazo Badize & Jay Sensi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Oya oya, yeah man
Nomareh
Rooch Mazeh
Bazo Badize
Izo vitu jo ni natural
Naconfirm, naconfirm
Ama nimenyanya? Mmh
Naconfirm, naconfirm
Tuko apa juu ya magaldem
Bazo ana wake
Roachela ana wake, pale katikati
Twende
Ni kasafari, ni kasafari, eeh
Ni kasafari, ni kasafari
Twende
Kujeni munisake, mi ndo yule natty
Na pale kwenye party kishasha na kiwake
Twende, ni kasafari, ni kasafari
Rada ni safi basi ziwake
Come na nare zitubambe
Ka weh ni ngati hatuparty, twende
Ni kasafari, ni kasafari, eeh
Ni kasafari, ni kasafari, eeh
Tuko apa juu ya magaldem
Bazo ana wake, Roachela ana wake
Pale katikati, bora rada iwe safi, eeh
Bazo Badize mi niko happy
Nkadhani kiparty kiko kwa Churchill
Za shada na ngale mi niliwacha
Na leo niko hapa tu juu ya magaldem, ah
Njumu ni saunya yaani safari boots
Kejani nimetoka nimedunga suit
Come na nare iwake si ni waras
Tunawathimera, kwani watado? Twende
Ni kasafari, ni kasafari
Rada ni safi basi ziwake
Come na nare zitubambe
Ka weh ni ngati hatuparty, twende
Ni kasafari, ni kasafari, eeh
Ni kasafari, ni kasafari
Tuko apa juu ya magaldem
Bazo ana wake, Roachela ana wake, Jimmie pia ana wake
Pale katikati, eeh
Ni kasafari, ni kasafari
Roadtrip, yeah man
Rooch Mazeh, Bazo Badize, Jimmie
254 to the world
Wale wa stoo
Roadtrip
H city