Nare ft. Jeffari Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Yo mzee. Izi shada za siku izi mzee
Bana jo
Deno jo na Monga, nyinyi
Umeziskia? Apa niko na kimoja
Come na ki
Rooch Mazeh
Jeffari
Again again
King wa Viding. King king
Yeah man
Come na ki, na ki, Nare
Kilighter
Nare
Come na ki, na ki, Nare
Kilighter
Nare
Mazeh jana kulishika. Kabisa
Kulishika. Kabisa
Si kulishika. Kabisa
Jana kulishika, kulishika
Kabi, kabisa. Kulishika
Jana wasee walijitolea form ikajipa
Watoto kibao, drinks ka thao jo kulishika
Mike alikam through. Ken hakukam through. Jeff ulikam through si kulishika
Biggie alikam na maspeakers kwa mabega
Eeh, alafu akachujwa juu ya kuleta fujo
Njoki na ile squad yake ya wasupa
Hawangemiss. Walai, walituonyesha vituko, eh
Bro, hii story haiezi ka chini ya maji
Mizinga, mambichwa, sheesha ya wale wasupa
Buda, kaketepa jo
Jana kelele takatifu hadi asubui jo
Weh, kulishika. Eeh, mazeh jana kulishika. Kabisa
Kabisa. Kulishika
Weh, mazeh jana kulishika. Come na kinare
Kilighter. Nare
Kilighter
Nare
Come na kinare. Nare
Kilighter
Nare
Dogo ya dogo pale kejani
Malines zinarun kwa mind juu design tumenyanya ni vi-natty natty yaani irie. Irie
Luku tunayo jo ni hatari. Hatari
Mbogi ni mbaya ukicheza utapigwa vibare
Na kwani jana Biggie kwa form alifanyaje?
Kenye nakumbuka ni ule dame flani
Sijui mkale sijui Vale, brathe
Ule bana huezani
Kwani ndo nani?
Alikua mdogo ungedhani ni kamono lakini kujibeba nayo ni ya kimomo
Kumkumba kumteka kumbe alidai form
Si ni kisima. Buda unatupima
Mi nilichimba
Shada ishazima weh ndo unanipima. Come na kinare
Kilighter. Nare. Kilighter
Nare
Come na ki, na ki, Nare
Kilighter
Nare
Mazeh jana kulishika. Kabisa
Kulishika. Kabisa
Si kulishika. Kabisa
Jana kulishika, kulishika
Come na ki
Rooch Mazeh
Jeffari, king king
Come na ki
Nare. Lighter
Nare. Kilighter