This Year Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2023
Lyrics
Check, check. Iko fiti
Rooch Mazeh
Saii niko level next. Among the best
East hadi West hawaezi contest
I'm better than the rest
Weh unaeza attempt but this is not a test
Kwa hii game mi nina say ndo natry kujidefend, uuh
This goes out to the fools yo keep your cool man. Mi nabonga truth
Music is a tool. Not everything's about you. Tho you're about to get schooled. Weh niskize hii ndo proof
Nikishika biro ni kama niko na rifle
Huezi nipata idle mi huchanganya hadi marival
Vile nyi wathii hucheer on my arrival
Nashukuru support. Mi ni lever nyi ndo pivot
Washaapprove. Mi ni mtrue
Rusha mikono juu. Chezesha izo miguu
Oya DJ apo tu
Uh, Nairobi Gossip breaking news
Either mi naongeza views ama waseme nazimisuse
At least one of the two. Io ni guarantee
Cheza nami ka unanifeel awa marapper watatii
Uh, ka hujanijua mi ni tafash. Rockstar, popstar. Recipe for disaster. You got that?
Io story for now kanyagia. Ka hujaskia this year ngoma naziachilia
This year
Ivi unaningalia. If I'm being sincere, mi najiaminia
This year
Ngoma naziachilia. Najua zimekawia ndo nawahakikishia
This year
Mi nakaskizia. Walai nkiziachilia, mtanifuatilia
This year
Walai ni this year. This year
This year
Mi nakaskizia. Walai nkiziachilia, mtanifuatilia
Ambia uyo dame akaribie. Mpishe njia. Before kumshikilia
Mwache akutingizie. Alafu jiachilie
Boychild msikizie, ukipenda mpandilie
Mic mi niachie natamani waniskie
Uku Nax V I'm the realest MC
Nmekua within chini ya maji nikiandika hits
Once in a while mi uwabamba uku kwa streets
Never been on TV but that's about to change
Remember the name, the face or a phrase
No matter the case I'm on top of my game 032 narepresent
Success my guest naikaribisha na both hands
This year, mtaniulizia ngoma mtazifurahia. Narudia mtazifurahia
This year, mi nakaskizia level nimefika mi napaa number moja naikujia
Naifikia design ya mat kudandia kamagira bado ni career huezi kosa kamia
Io story for now kanyagia. Ka hujaskia this year ngoma naziachilia
This year
Ivi unaningalia. If I'm being sincere, mi nmejiaminia
This year
Ngoma naziachilia. Najua zimekawia ndo nawahakikishia
This year
Mi nakaskizia. Walai nkiziachilia, mtanifuatilia
This year nawahadithia vitu nimepitia
This year naongeza gear, mi mtaniskia
Walai ni this year. This year
Yeah mazeh, jina ni Rooch Mazeh
Uh-huh, walai ni this year. This year
Success naskia jo ikiniita
Mimi, Roachela kwenye speaker