![Rockabye](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/26/eaea43613e654d9d8c11c75fdd040440_464_464.jpg)
Rockabye Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Rockabye - Barnaba
...
Nakupenda hadi naogopa hii
Kuna muda najikuta naropoka mmh
Maneno yanitoka hii mmmh!
Ung'ae kama mbalamwezi niwe yako nyota
Ukiugua niwe wako docta
Ndege nikuhifadhi kwa kiota yani pambee
Yani bebe uuuh ukinita nguvu zinanisha
Naregea kabisa kabla hujanishika
Mwenzako bebe uuh ukinita nguvu zinanisha
Sijafa ninazikwa ujana waniisha
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night
Nyumbani sifosiwi mwenyewe ninarudi tu
Nikiwa mbali nae nahisi namkosa
Moja mbili haikai nikimkosa
Sibure kuna kitu umenifanyaa
Kama kuroga umeniroga vizuri
Nipe namba ya mganga nimwambie baby aongeze dawa
uuuh ukinita nguvu zinanisha
Naregea kabisa kabla hujanishika
Mwenzako bebe uuh ukinita nguvu zinanisha
Sijafa ninazikwa ujana waniisha
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night
Rockabye bebe rockabye
I'm gonna need you
Rockabye bebe rockabye
Straight to my bed to night