![Shule Yako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/11/9a0d761792d543f09872f318d3c12db5_464_464.jpg)
Shule Yako Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Shule Yako - Mercy Masika
...
Baba nichukuee oooh
Baba nichukue nifunze nataka kusomaa
Kwa shule yako kwa shule yakoo
Nichukue nifunze nataka kusomaa
Kwa shule yakoo kwa shule yako
Nikiwa nawe kama mwalimu ninajua nitahitimu
Nitashinda aduii akileta majaribu
Unitayarishee unibadilishee
Mtihani nipite mwito nitimize eeh
Nijue kuandika niandike maono yangu
Nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea niinjili neno lakoo
Kwa watu wakoo
Baba nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yakoo kwa shule yakoo
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shuke yakoo kwa shule yakoo
Shule yako hatudanganyi ni ukweli na uwazi
Wanafunzi hatugomi mwalimj unatujali
Unifunze nidhamu wote niwaheshimu
Yesu ni mwalimu yesu ni mwalimu
Nijue kuandika niandike maono yangu
Nijue kuhesabu nihesabu baraka zako
Nijue kuongea niubili neno lakoo
Kwa watu wakoo
Baba nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yakoo kwa shule yakoo
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shuke yakoo kwa shule yakoo
Baba nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shule yakoo kwa shule yakoo
Nichukue nifunze nataka kusoma
Kwa shuke yakoo kwa shule yakoo