Naongea Na Wewe Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2015
Lyrics
Naongea Na Wewe - MwanaFA
...
Naongea na wewe
we we
Naongea na wewe
we we (usijifanye hunisikii)
Naongea na wewe
we we
Naongea na wewe
we we (usijichikiche ....)
Naongea na wewe
we we
Naongea na wewe
we we (usijifanye hunisikii)
Naongea na wewe
we we
Naongea na wewe
we we (usijichikiche ....)
naongea naongea naongea naongea na wewe
kila mstari utakaotoka hapa unakuhusu wewe
round hii hadi hadi uelewe
sikuachii mpaka uamue
naufanya mziki biashara
naufanya ili ununuliwe
sikia kengele we bwege