
Mabinti Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2002
Lyrics
Mabinti - MwanaFA
...
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh!
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh
Wengine ndani jeans wengine ndani ya skirt
Wengine mini au magauni ya vitambaa vyepesi
Mradi istizahi wanipore uhuru wa nafsi
Weledi wa ajabu
Kwenye mambo ya chini ya paa
Kuna werevu wa ajabu
Kwenye mambo mengi ya bar
Hawanipi shida sio balaa
Na zaidi nawapenda mabinti watundu
Mapozi ya kichokozi au sio pozi vurugu
Mitindo ya kiyahudi hijabu zikatazo kichwa
Na mikogo ya kifisadi sio makini inapotosha
Unaona shanga za miguu naita vikuku
Ingawa kwa wenye ufahamu niupotofu
Watoto wa kibongo hakuna mchezo
Kuna walatino waafrika na wasanta domingo
Kuna mpasuo toka chini mpaka kando ya kiuno
Milango iwazi kwa yeyote aliye na mdomo
Sijapoteza macho ya kuangazia warembo
Nakosa uzalendo nionyeshwapo miguu
Napata uchizi wa mtima
Choma fedha na muda sioni balaa
Natumai sifunzi hasaraa?
Ni hadithi na sio biashara
Ukishindwa Inshallah
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh!
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh
Kuna kifua kama cha zay B
Kiuno kama cha Ray C
Na pozi kama za Jay D
Sauti kama Fina
Au labda ya aunt Ndina ipo njema matabasamu
Kama binti Maumba wa kino Msio nidhamu
Mtafanywa mpende ngono Hold on!
Kuna pozi za kimtoni
Kama Tausi Likokola
Unataka ni full bakora
Mabinti wangara wanang'ara
Warefu warembo kama twiga
Mithili ya Happy Magese
Midomo kama ya Shose
Utapenda uonekane yaani viwanjani ututese
Au binti maarufu utasema Aina anatosha?
Kama nataka mwanya
Nafahamu wapi ntaupata
Mwite Aminata wa keita
Binti wa vigogo unamtafuta Mboni Mhita?
Mwili utakaokufanya upende love
Kama wa Mercy Galabawa
Na macho yanayovuta kama ya Miriam wa Ikoa
Unaweza utangaze ndoa
Wengine mziki kama Shanice
Au kama connie stephans
Naiota rangi ya Caroline
Na lugha tanu kama ya Seven
Najua mnawaita masister Du!
Bendera hewani
Sometimes wavute widdy
Mentally japo wazuri, mithili ya Kibibi
Miondoko kama Faudhia
Au ungependa kithethe mithili ya Radhia
Watoto wa shule wasiwafanye mpagawe
Ilhali kuna wenye haiba kama Halima Bandawe
Mi kwa mabinti -nisahauliwe
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh!
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh
Kuna mabinti wapo kamili kila idara
Familia bora
Akili zisio lala maumbo bomba na sura
Kuwapata ni full Gospel
Wao ni ajira na hawaitaji zaidi ya sera
Kuna mitego ya khanga mambo ya kitanga
Kama una jicho, hii unapaswa kuwa umeiona
Michirizi ya utamu nyuma ya goti mimi hoi
Una moyo hai hili sio toi
Pigo jingine kama Sunset
Ubishi haufai
Ona visa kwenye mitindo ya vichwa
Anuani pepe za mitandano na simu zinawehusha
Ukitaka upgawe njoo kiwanja
Jaribu kuwa mkweli
Uonapo vitovu wazi hakuna siri mahututi mimi
Kuna wadada, wamama
Masister du wote wapenzi
Wana nataka staki
Sio kamanda unaachia ngazi
Omba majina Amina kawa Mayna
Naima, Clara na Rayyah!
Kuna Tayana, Aneth hata bongo kuna Aaliya?
Candy, Nicole, Uenice au labda Marayah
Sikitu hataki jina na Asia anaitwa Eshia
Pamba hazibani ni hatari
Ni makusudi tuone mstari wa kufuli
Mambo ya kivazi
Wachumnba wote mpo pina
Wote funga kazi hakuna
Msiache washkaji wawafanye watumwa
Nyie ndio mama
Anayewaponda apate laana
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh