
Sio Kwa Ubaya Remix ft. Maua Sama & Harmonize Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Sio Kwa Ubaya Remix ft. Maua Sama & Harmonize - MwanaFA
...
Ndo mana nakesha sio kulala sipendi
Napenda pesa sio kwa ubaya kuspend
Najipongeza sio kulala sipendi
Napenda pesa sio kwa ubaya kuspend
Ukichezea pesa yangu nikikamata naua
Mi nipesa haujasikia kwamba pesa maua
Ukiwa na pesa unajua unachotaka inakua
Na mwezi huu siendi mwezini naenda kwenye jua
Nafanya kazi sina time yakuvimba
Positive vibes ndo mana chuki nazishinda
Navyozipenda doo zilipo ndo natinga
Husione nipo slow ndivyo navyowinda
Kitachofanya we usije ukatubu (mchele mchele)
Kwa mana pesa itakuonesha what you do (mchele mchele)
Pesa nizipate vipi bata niziache vipi
Pasta sadaka fungu na zaka niziache vipi
Siogopi vizingiti napopita hawapiti
Ka utafuti ka mimi kaa mbali nakudelete
Ndo mana nakesha sio kulala sipendi
Napenda pesa sio kwa ubaya kuspend
Najipongeza sio kulala sipendi
Napenda pesa sio kwa ubaya kuspend
Ukiwa na siku yakutafuta nayakupata ipo
Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufata ulipo
Nakutia moyo kukata tamaa mwiko
Sio lelemama ikibidi mnagombea fito
Penda hela husiziabutu usivukwe na utu
Roho yako sio ya chuma husiache iwe na kutu
Sheria msumeno lakini haichani dhiki
Mawe yameiva na mkaa bado umebaki
Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini
Mi nakimbiza hela mademu nimewaachia nyinyi
Hizi sio habari za mjini ni habari zangu mimi
Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini
Pata hela maadui zako wanune
Softlife ma nigga mpunga ndo nguvu za kiume
Au uendelee kulala ka utakua utachokiota
Hasieaso na hasile ukija kitaa utatukuta
Moyo wa champion sioni competition
Mitihan ya maisha hufaulu kwa kwenda tuition
A.k.a ya ulimwengu naekutia fimbo za ugoko ka ukufuzwa na mama yako shauri yako
Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezi cheza
So usiponiona husiulize jua tu niko busy
Nasichanga si kwa ubaya
Mi sina time ya kupoteza
Ngoma ya mtu siwezi cheza
So usiponiona husiulize jua tu niko busy
Nasichanga si kwa ubaya
Kwanza naamka mapema kama naishi kigamboni
Deal isiyo na pesa kondeboy humuoni
Gari inafuka moshi ka nimepack jikoni
Na usipo muona mudy mnyama bunduki ipo kiunoni yeh
I go for the money mula
Me am go for the money money mula
I go for the money mula (ngoma ya mtu siwezi cheza)
Na sina time ya utani utani mula( so husipo niona usiulize nazichanga si kwa ubaya)