
Usije Mjini Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2008
Lyrics
Usije Mjini - Mwana FA x AY Masta
...
BRIDGE:
Ooohh!!! Pancho brought this.....
Ooohhhhh (ooohhh)
Eeoooohh (eeoooh)
Uueeoooo (uueeoo) x2
Usije mjini eeahhhhahah x4
Ogopa matapeli nyumba hii haiuzwi
Moja ya nembo maarufu hapa mjini mzazi
Wote tunataka utajiri so zinatungwa mitkasi
Watu wanalia kila siku kama tarumbeta ya harusi
Jua limeshushwa zaidi mjini na huwaka zaidi mifukoni
Kila malaya ana story na zote huwazifanani
Kumbuka Zubeda yule binti wa profesa kashindwa hajuiatamsaidiaje mjini kuna mengi brother
Wanachapa mpaka ndala, kwenye nyumba za ibada
Sio wote wanapakulala usidanganywe na luninga
Huku kwenye ufisadi waliopo hawataki kurudi, hata mbunge wa kwenu yupo huko atakuja uchaguzi
Sio wote mambo ni safi wengine wamegomewa na maisha
Wanaona haya watarudije na stori walizowahisha
Hakuna shamba hakuna mbuga labda kuwaibia wajinga
Mauwezo watayowefanikiwa ni moja ya kumi unayoyafuga (so they say)
.......CHORUS.......
yafaaa usikize nnayosema
huko unaweza kupotea (YESSSS)
nananana (USIJE MJINI)
nananana (NSHAKWAMBIA USIJE MJINI)
eeehhhhhh (USIJE MJINI)
eeehhhhhhhh (NISHASEMA USIJE MJINI)
eeehhhhhh (USIJE MJINI)
eeehhhhhh (NARUDIA TENA USIJE MJINI)
.....................
Maisha huku ni mbinde, yafaa kutumia akili ya kuzaliwa ndo ushinde
Watu wanahustle everyday, wapunguze makali ya maisha day after day
Kuna wivu chuki ghasia fitina watu wako mbio mbio kupoteza muda hakuna
Wanatoroka na wake na hata waume wa wenzao wengine hawatosheki wanawachapa mpaka watoto zao
Mbwembwe nyingi vyeti feki wengine wakikopa halipi na si wote wanaosmile ukadhani wako happy hawamanishi ila ubishi maisha hayana hata urafiki bora bush town uzushi huko undugu huku cash
Town nani ambaye hana deni, kama hauna kazi muda nao hauendi
Na si kila aliyetown basi mjanja, unaweza ukaukamata mkwanja alafu ukaonekana mshamba (USIJE MJINI SON)
.........CHORUS........
Daisama simba magai kama mbwai mbwai kuni watu jua moto sikutishi mji haufai wamasai hawachungi ng'ombe huku wanalinda magari washaiba dili ya wamakonde mji ulivokua nishai
Siku hizi hawawindi simba wanasuka dada zetu mjini huwezi kuwa mtu kama huna dili ya mkwanja mkuu nafuu huko kuna waganga kwelu huku hata dini ni dili na kuna manyoya kazi mjini sio kuzuri
aahhhaahaaa Na si kila aliyetown basi mjanja, unaweza ukaukamata mkwanja alafu ukaonekana mshamba (USIJE MJINI SON)
.......CHORUS......