Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2010

Lyrics

Bado Nipo Nipo - MwanaFA

...

Overview

Listen

Lyrics

Artists

Hardward blood

The personality change, yeah, hii ya leo hii!

Hermy

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mwana)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!?)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mama)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Eeh! (Wa kuoa ntakuwa mimi mama!?)

Japo natokea Tanga mapenzi yalipozaliwa

Sijivishi ufundi nikajifanya nayajua

Mi' nna akili timamu naona tu mnavyoyarukia

Ukiniona na demu mzuri haimaanishi ndio ntamuoa

Napata wakati mgumu washkaji wanapolia kwa uchungu

Kwani na mi' n'na maumivu yangu nasema tu na moyo wangu

Watu wanalalamika wanavyoumizwa na ndoa zao

Wengine wanaficha wanakufa na maumivu yao

Sioi leo, sioi keshokutwa wala mtondogoo

Sioi mchana, sioi jioni, usiku wala majogoo

Morale niliyonayo sasa siwezi kubali kuibiwa

Ngoja nizeekezeeke kwanza pengine ntakuja elewa

Eti nizibe maskio, wengine nifumbe macho

Nisione wakati naibiwa? Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mi' nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi

So miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mwana)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!?)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mama)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mama!?)

Hata nikitaka kuoa niambie ntamuoa nani?

Watu wana watu wao wengine toka zamani

Ukiambiwa we ni boyfriend haimaanishi uko peke yako

Wadogo usoni wanahifadhi wazee wako

Sijui ni dhiki au tamaa tu? Watoto wanaanika njaa tu

Hawafikirii mapenzi wanachoona wao ni mkwanja tu

Msinipe headache staki kufuata mkumbo

Nyi' anzeni mi' niacheni, sitaki kufanya gamble

Marafiki wanauzana, ndio zao vicheche

Na daima wanateteana, usiwaamini usiniangushe

Anataka kuolewa na anamegwa kama kawa

Demu wako akiuza wenzake, zinduka nae analiwa (yes)

Sitaki kuoa sababu sitaki kulia

Najipanga nisiharibu sitaki mje kunihurumia

Nafahamu nina bahati mbaya kama nalala na bundi

Ndio maana sijipi moyo wala sijitii maufundi

Aliyelala na bibi harusi, siku moja kabla ya harusi

Na wala sio bwana harusi, bado mnanishauri harusi?

Eti, nizibe maskio wengine nifumbe macho

Nisione wakati naibiwa? Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mwana)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!?)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mama)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mama!?)

Usiseme unaamini mwanamke hata kama unamtania

Watu na akili zao washajichuuza na wakalia

Sikatazi watu kuoa

Na hata nikiwakataza neno langu sio sheria

Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri

Wanaojitunza, wanajiheshimu sio wa simu na gari

Inahitaji muda kuwapata hakuna anaewajua vizuri

Ndio maana mi' nipo nipo sitaki kuvamia shari

Wanatoroka na wazungu, wanamegwa na vibabu

Wanaiba waume za wenzao uso mkavu hawana aibu

Ukitaka wako peke yako labda umuumbe mwenyewe

Au kata mgonjwa uufiche mtaani usishindaniwe

Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge ummegee

Haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume

Kumegewa ni jambo moja kukimbiwa ushafikiria?

Sio kila demu umuonae unaweza kuoa

Eti nizibe maskio! Wengine nifumbe macho!

Nisione wakati naibiwa? Hamuwezi kuwa hamjalewa

Mi' nikiona mtu anaibiwa naona kama naibiwa mimi!

Sio miaka kadhaa ijayo ndio mniulize naoa lini!

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mwana)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mwana!?)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo mama)

Unasema? (Bado nipo nipo sana)

Mwana FA unaoa lini? (Bado nipo nipo kwanza)

Eeh? (Wa kuoa ntakuwa mimi mama!?)

Yes, yes, it's yo' boy FA

Na Hermy B ni kazi chafu but lazima mtu aifanye!

Sipendi wanawake napenda wanawake wazuri!

Wanaojitunza, wanajiheshimu sio wa mkwanja na gari!

Yeah, love is love my people

Ladies, behave basi au sio?

More Lyrics from MwanaFA Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status