![Gwiji ft. Maua Sama & Nyoshi](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/23/7d81e153ae514a97ace636eaa0b5fc89_464_464.jpg)
Gwiji ft. Maua Sama & Nyoshi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Gwiji ft. Maua Sama & Nyoshi - MwanaFA
...
......oooouh ..falsafaaaa
Mwanafa nkoiii
omekiii?? okangamiii
wewe ni gwiji wa magwiji
asiyekubali aumbe dunia yake
aaah! lakini mimi nyosh el sadaat
nakuchukuliaga kama Mobutu seseko kukumbedo wazabanga le male leshale
bosomba seskulee hahahah
never end never loose
Mwanafa legend legend
.
.
naota ndoto hazina rangi naamka nazipaka
watoto wa kiswazi huwezi ukatueka mipaka
Mungu ndo ametaka,jongoo Kawa nyoka(Kawa nyoka)
hakuna kihunzi hatuwezi ruka
tushasukuma sana milango ilioandikwa vuta..(vuta) niamini na inafunguka
mbwa mkali usikatize wahuni tunapita
tunayavuka kwa kamba madaraja yaliyovunjika
Mungu wetu halali. wala haendi likizo
hatuachi kumuomba na anafuta matatizo
yakija tena naomba tena na Mungu anayafuta tena,
mioyo yetu iko safi safi ile kinomaaaa
kifo kiniuwe au maumivu yanikomaze,yote sawa ila ujinga usipumbaze
kila kiumbe na njia yake moyo na tamaa zake
mbwa mpumbavu ndo anaweza bwekea ndege ...(ouuuh yeah)
waiteee wamuone gwiji wajigambe
Waite Waite Waite waje wamuone gwiji wajigambe
Waite wamuone gwiji wajigambe
Waite Waite Waite waje wamuone gwiji wajigambe
'weee haya'
Me ni hustler baby,that's what I do
I hustle shida hazikwepeki zipo kukupima muscle ,zikutoe macho ,zikutoe jasho, zikupe akili na zikuandae kwa kesho
jikaze mwana usichukuliwe mateka
kama unaachana na dunia wew ndo uandike talaka
ukiomba mafanikio fahamu yanakuja na wivu ,havitengani havikai mbali
kidevu na ndevu
Dunia haitosimama ukigoma kutembea nayo
sio magumu kama ku-click link kwa bio
kama ka anaekupa moyo umegusa tu Battle sio
kuwa mpambanaji kama binamu yangu sio
huo sio mziki wa mafala ni mziki wa ma-titan
unapoweka kitako, unachek unakufundisha
una-feel the passion zaidi ya Telemundo
mapunch mengi ata touch akizima mdundo bye bye (bye bye bye bye)
Waite wamuone gwiji wajigambe (we hayaa)
Waite Waite Waite waje wamuone gwiji wajigambe(we hayaa)
waite waje wamuone gwiji wajigambe (we hayaa)
waite waite waite waje wamuone gwiji wajigambe (we hayaaaa)
mmmh mmmh mhhh
it's another one.(it's another one it's another one)
touch (touch touch touch)
we hayaaaaaaa
oooouuuuuuuuuh
we hayaaaaaaa