
Unaweza Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Unaweza - Neema Gospel Choir
...
eeeeeh
mwokozi wetu Yesu Bwana wa mabwana
Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?
shout to Jesus.
Mwokozi wetu yesu bwana
mwokozi wetu Yesu Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?
Hallelujah are you ready to dance for the LORD
Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×3
Tunalisifu Jina lako
Tunatukuza jina lako
Wewe ni mfalme wa wafalme ×2
Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×3
Ee Bwana, Mungu wa majeshi
Ee Bwana, utuangazie
Nuru za uso wako
Ee Bwana, ee Bwana
Nasi tutaokoka
Milele milele ×2
Ee Bwana, Mungu wa majeshi
Ee Bwana, utuangazie
Nuru za uso wako
Ee Bwana, ee Bwana
Nasi tutaokoka
Milele milele ×2
Hata watu wabadilike
Wewe kamwe hubadiliki
Si kama mtu udanganye
Kweli yako ni ya milele ×2
Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana? ×2
Bwana mkono wako
hutenda makuu
Umetupa wokovu
Nani kama wewe,
Bwana wa mabwana?
Bwana, mkono wako
hutenda makuu
Umetupa wokovu
Nani kama wewe,
Bwana wa mabwana?
Mwokozi wetu Yesu, Bwana wa mabwana
Unaweza,
nani kama wewe Bwana wa mabwana?