![Yesu Nakupenda](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/04/18/2074c99dc5284693b335c7a501372bc8_464_464.jpg)
Yesu Nakupenda Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2023
Lyrics
Yesu Nakupenda - Neema Gospel Choir
...
Yesu nakupenda, U mali yangu,
Anasa na dhambi sitaki kwangu;
Na Mwokozi aliyeniokoa,
Halleluyaaahhh
Sasa nakupenda X 3, kuzidi pia.
Moyo umejaa mapenzi tele
Kwa vile ulivyonipenda mbele,
Uhai wako ukanitolea
Sasa nakupenda X 3, kuzidi pia.
Ulipoangikwa Msalabani
Tusamehewe tulio dhambini;
Taji ya miiba uliyoivaa,
Sasa nakupenda X 3, kuzidi pia.
Niwapo hai, niwapo maiti,
Kupendana nawe kamwe siachi;
Hari za kifo zikinienea,
Sasa nakupenda, kuzidi pia.
Mawanda mazuri, na masikani
Niyatazamapo huko Mbinguni,
Tasema na taji nitakayovaa
Sasa nakupenda, kuzidi pia.