
Ahsante Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nitakushukuru Bwana
Kwa moyo wangu wote
Nitayasimulia matendo ya ajabu
Nitafurahi nakukushangilia wewe
Nitaliimbia jina lako uliye juu
Adui zangu hurudi nyuma
Hujikwaa na kuangamia
Umenifanyia hukumu ya haki
Na kunitetea na yule mwovu
Niwewe Bwana unajibu kwa haki
Asante kwa uliyotenda
Wewe ni Mkuu Yesu
Hakuna mwingine kama Wewe
Mfalme ndiwe Bwana