![Nguvu Yetu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/03/a6d6d0e392c14818aa5e48e05b7f861b_464_464.jpg)
Nguvu Yetu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2023
Lyrics
Nguvu Yetu - Neema Gospel Choir
...
Bwana neno lako,
ni faraja kwetu na nguvu yetu.
Bwana neno lako
ni faraja kwetu na nguvu yetu.
bwana neno lako
ni faraja kwetu na nguvu yetu.
bwana neno lako
ni faraja kwetu na nguvu yetu
Gusa kanisa lako
Watoto wako
Twaomba faraja yako
Gusa watumishi wako
Shambani mwako
Tutendao kazi yako
Gusa kanisa lako
Watoto wako
Twaomba faraja yako
Gusa watumishi wako
Shambani mwako
Tutendao kazi yako
Utupe nguvu baba,Utufariji tena
Maana neno lako ndilo nguvu yetu
Utupe nguvu baba,Utufariji tena
Maana neno lako ndilo nguvu yetu
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu
Tutatawala tena
Tutatawala tena
Tutatawala tena na Bwana
Tutatawala tena
Tutatawala tena
Tutatawala tena na Bwana
Tutatawala tena
Tutatawala tena
Tutatawala tena na Bwana
Tutatawala tena
Tutatawala tena
Tutatawala tena na Bwana
Bila uwepo wako Yesu hatuna nguvu
Ndani yako ewe Yesu twapata nguvu