![Sisi ni Wale](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/06/0b054625840241639acb3949ea0ae1efH3000W3000_464_464.jpg)
Sisi ni Wale Lyrics
- Genre:Others
- Year of Release:2024
Lyrics
Anayepigana na sisi
Anapigana na Mungu
Anayekinzana na sisi
Anakinzana na Mungu
Ooh yoyoyo
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
Wanajeshi wale
Tuliotumwa na Mungu
Anayepigana
Anayepigana na sisi
Anapigana na Mungu
Anayekinzana na sisi
Anakinzana na Mungu
Anayepigana
Anayepigana na sisi
Anapigana na Mungu
Anayekinzana na sisi
Anakinzana na Mungu
Say sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
one time say sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
mmh yeeeh
Aliye upande wetu
Ni mkuu zaidi ya miungu yote
Aliye upande wetu
Atatushindia yote
Tusifadhaike tusitetereke
Tunaye mkuu wa ulimwengu wote
Yeye ni ngome imara
Haiwezi tikisika
Aliye upande wetu
Ni mkuu zaidi ya miungu yote
Aliye upande wetu
Atatushindia yote
Tusifadhaike tusitetereke
Tunaye mkuu wa ulimwengu wote
Yeye ni ngome imara
Haiwezi tikisika
Say sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
Come on somebody say
Sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
Let me see you dance
Let me see you dance for the Lord
Say kati ya vizazi
Kati ya vizazi
Mungu kaita jina langu
Nami nikaitika
Nipo hapa
Kati ya maelfu
Mungu kaita jina langu
Nami nikaitika
Nipo hapa
Kati ya vizazi
Mungu kaita jina langu
Nami nikaitika
Nipo hapa
Kati ya maelfu
Mungu kaita jina langu
Nami nikaitika
Nipo hapa
Let me see dance
Say sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
Sisi ni wale wale
Say sisi ni wale wale
Sisi ni wale
Tuliopakwa mafuta mabichi
Sisi ni wale
Tuliopigwa chapa ya Mbinguni
Sisi ni wale
Wanajeshi wale tuliotumwa na Mungu
One time say
Sisi ni wale
Shout Say
Kati ya vizazi
Mungu kaita jina langu
Nami nikaitika
Say nipo hapa
Nipo hapa
Kati ya waimbaji wote Tanzania
Mungu kaita jina lako wewe
Japo hawakuoni say niko hapa
Niko hapa
Kati ya wanamuziki wote duniani
Mungu kakubariki wewe nawe ukaitika nipo hapa
Nipo hapa
Kati ya familia zote
Na maagano ya familia
Mungu kakutenga nayo
Kasema nipo hapa
Nipo hapa