![Tabu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0F/20/30/rBEeqF3w1qGAcR06AADBrOYlSHo375.jpg)
Tabu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Tabu - Malkia Karen
...
ukijaniacha moyo wangu,
nitaumia sana miee eee,
ndo Mana nikikuona, mwili wote unantutusuka eeeh,
kuwa nawe Sina hakika utaniua wewe,
mi kunipa pendo lako , kwangu imekua Kama njozi,
Hata pale tufikapo aah mi ninaumwa homa,
we si wa sampuli Wala sample, kwangu umekua Kama dozi,
Hata pale niangukapo aah we unaniinua sa vipi ukiniacha
"CHORUS"
mi nitapata tabu,oooh tabu
mi nitapata tabu,oooh tabu
mi nitapata tabu,oooh tabu
"VERSE 2"
nananana eeeh
Niko na weweee, kinywa hakineni ya nini niandikie mate,
eti kipya kinyemi, maneno ya uvumi yasinchachafyee,
Mimi umenfunga semi ,kwa rafiki zao baba usintangaziee,
ooooh mbona, mbona fisi bucha hasusiwi,
Hata buti haling'ai bila kiwi,malumbano kando hayatakiwi,
mmmmh, ahaa,Mana fisi bucha hasusiwi,
Hata buti haling'ai bila kiwi,
malumbano kando hayatakiwi,
sasa vipi ukiniacha,
"CHORUS"
mi nitapata tabu,oooh tabu
mi nitapata tabu,oooh tabu
mi nitapata tabu, oooh tabu
"BRIDGE"
tujikongoje tara tabu,
taratibu kokote sisi tutafika,
visiwani bara, bara,
majaribu sitetereki yatakwisha.
mi nitapata tabu ,oooh tabu
mi nitapata tabu ,ooh tabu
mi nitapata tabu,oooh tabu
mi nitapata tabu,oooh tabu................
..................END..................