
Kwetu ft. Lady Jaydee Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwetu ft. Lady Jaydee - Malkia Karen
...
Sioni taabu uuuuh
Sioni taabu nakula kwetu nalala kwetu eeh
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua mnajisumbua?
Sioni taabu, nakula kwetu wee
Nalala kwetu sina shida mimi
Na wala sina karaha
Sijaomba kwenu, sijalala kwenu
Ya nini lakini kunisimanga mimi
Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?
Yaani sioni taabu, naala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua?
Yaani mi sioni taabu, nakula kwetu
Nalala kwetu mwajisumbua
Sioni tabu, nalewa kwetu
Nakesha kwetu, yeah iyeah
Kila siku niamkapo, kila mahala niendapo
Mwanitaja taja jina langu
Sili kwenu, silali kwenu
Karaha za nini, shida za nini?
Yaani sioni taabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, bure mnajisumbua
Yaani sioni tabu, nala kwetu wee
Nalala kwetu wee, ya nini mnajisumbua?
Sioni taabu, nakula kwetu
Nalala kwetu yeah
Yaani sioni taabu!
Sioni taabu!