![Washa](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/26/98/rBEeqFvJqOCAaE0iAAC7urHBTb4740.jpg)
Washa Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Washa - Malkia Karen
...
aaahaaaaahhh elelele mmmhh
kwanza shikamoo mapenzi,
utamu wako naujuaga mwenyew
Kwenda lesi mi cwez, usiniburuze ukaniacha mwenyew
nimepata mwandani wangu nagafijo
kichale cha moyo wangu aaaaahh
uwanjani kumenoga mapambo na doti za vitenge nikamtunze somo
longo longo tuzifungie pemben, mama mwali yu wapi aje tulisakate ngoma aaa
zile ngo ngo ngo zimepata funga semi nitoe kimasomaso zikome zao noma
aaaah baby eeee washa washa nione raha washaaaa tuyazike maneno washa washa wajikunie pembeni
wapate habari hata kama wana bando washa washa yamekuaaa washaa leo ndio leo wajikunie pembeni
mmmmmhhhh
mapenzi bidhaa isoisha thaman na makeke ya chumban
kudamshi kitandani burudaniii
zogo usiendekeze wake ulime peremende yaan uban kuchota tia kwenye moto
yasije nitesa mazoea moyo nikaja kuuchua pingu ukazifungua wapate la kuongea, majirani
longo longo tuzifungie pemben, mama mwali yu wapi aje tulisakate ngoma aaa
zile ngo ngo ngo zimepata funga semi nitoe kimasomaso zikome zao noma
aaaah baby eeee washa washa nione raha washaaaa tuyazike maneno washa washa wajikunie pembeni
wapate habari hata kama wana bando washa washa yamekuaaa washaa leo ndio leo wajikunie pembeni
nishike nga nga nga usije kuchomoka doze doze aaaa doze dozee Ooh hubby doze doze
chunga na ulimi usije kunitaka doze dozee aaaaa doze doze mmmhhh doze doze
aah oh baby ee