![Lawama](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/7E/07/rBEeMVtQVdqAUEQZAABx2JAi8WQ904.jpg)
Lawama Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Lawama - Malkia Karen
...
penzi unalionea waizunguka njia ukuta nilioegemea leo wanichafua hata ujiteteaje stori zako mi napewa we unanionaaje kunivuruga kila mara
kwani si tuko wangapi ama mi mshika shati na chakula hakiliki baba wee kila siku kesi kesi×2
nimechoka mwenzio(lawama)oooh lawama sina swaga yoyote na wewe lawama lawama penzi lang la zamani inaumaa inaumaaa kila nachofanya hakuna inauma inaumaaa