![Shada](https://source.boomplaymusic.com/group1/M04/AE/B8/rBEezlzP8gGAdVZJAACXFDeGEXM059.jpg)
Shada Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Shada - Malkia Karen
...
(INSTRUMENT🥁)
Mhhmhhhhhh....!!! Heeeeeee.....!!!!☀️
Khadthi tamu ya upendo tayari ushanisimuliaga❤️.
Sitaki Mbwembwe na kwere Mchele kwa kuku kuumwaga☺️.
Mwenzako nakupenda yote sema Nitasikia Unanipaga Moyo nikianza kulia Chozi una nfutia Aaaaah 🥺
Utamu lah sikidogo uwo ukae usiwe mbogo Ukaniona toto dogo Uwo tamu ukaurusha eeeh x2🤪
Haloooo ßaba (Ahaaaaaa)
Mpenzi shadaaaa(Mhhhhhhh)
Naomba univishe la maisha mpenzi usiniache njiani🥳
Haloooo ßaba (Ahaaaaaa)
Mpenzi shadaaaa(Mhhhhhh)
Nipe Mapenzi nami nikuenzi Miele maishani🤩
Haloooo ßaba (Aan Ahaaaaa)
Mapenzi shadaaaa(Ohooooooo)
Lamaisha Mpenziiii usiniache njianiiii🤓
Heeeeeeeee......!!!!!!!🥰
Aan Ahaaaaa. Ahaaaaaaa
Mmhhhhhhh. Mhhmmmmm⭐️
We ndo umeshika funguooo🧸. usiluhusu wezi kuichukua Ukaniacha Maji ya shingoooo namipira Nikaremehaaa
Niite faragha Nikikosea nikalishe chini Nimejenga kibandaaaaa.⛪️ Wooooooohh
Uniite faragha Nikikosea. Nikalishe chini Nimejenga kibandaaaaaa⛪️
Utamu lah sikidogo uwo ukae usiwe Mbogo ukaniona toto dogo uwo utamu Ukaurushaaa eeeeh x2 🤪
Halooooo ßaba (Ahaaaaaa)
Mpenzi shadaaaa (An ahaaaa)
Naomba univishe la maisha Mpenzi usiniache njianiii🥳
Halooooo ßaba (Ahaaaaaaa)
Mpenzi shada aaa(Aan Ahaaaa)
Nipe Mapenzi nami nikuenzi Miele maishanii 🤓
Halooooo ßaba (Asn Ahaaaaaaa)
Mpenzi shadaaaaa(Ohoooooo)☠️
Lamisha Mpenzi Usiniache njianiiii
Usiniache njianiiii.🥴Usiniachenjianiiiiiii
Ahaaaaaa...!!!!🤚🏾