![Marry You ft. Mr Blue](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/4C/C0/rBEeMlnORPCAIskHAABMPU1DsTM622.jpg)
Marry You ft. Mr Blue Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2015
Lyrics
Marry You ft. Mr Blue - Barnaba
...
this is barnaba boy classic
i know you love me and i love you too baby
once again...enheee
Haijalishi huko nyuma nishamfanyia managapiii!
Haijalishi huyu ndo wangu wa milele moyoni simwachiii..
NAOMBA BABA yabariki mahusiano yangu leo
kwa kumpenda nimempandisha cheo
huko nyuma nishafanya mengi mengi kibaoo;
mhhh vigelegele ndo vilie sana leo , wenye husda zao wabaki makwao.Nikumbate tukomeshe roho mbaya zaoo..
oooh Nakuombea mola,akupe na uzima
akulinde sana,ukiumwa inshaallah
najiombea mola,anipe na uzimaaa, akulinde sana,Nakupenda sana
chorus
twaweza seti mipangoo
ili tutimize jamboo leo
kipenzi funga macho
nikuonyeshe kile ambachoo utapenda
baby i know you feel me
i wanna marry you, will you marry me? oooh×2
bridge;
i will marry you jana na keshoo
sherehe yetu kila leo
hata nikikuuzi kwa chatting
am sorry yangu naisema kwa dhatii
bahari yetu nyekunduu
tuogelee wenyewee
ya bluu ya walimwenguu
tukae tu kama mwele
machozi yako ya furaha, nayakinga kwa mikono yangu mpenzi, niyarushe kama manukato tubaki twanukia harufu ya mapenzi.
aaah siku nyinginee nikuulize tena, nijibu tenaa
WILL YOU MARRY ME? I WILL RE-MARRY YOU, OF COURSE BABY I WANNA MARRY YOU.
ILAaa nakuombea mola, akulinde sana aiaaa aa akupe na uzima NAKUPENDA SANAaa
najiombea molaa, anipe na uzima, anilinde sana NAKUPENDA SANAaa
twaweza seti mipango ili tutimize jamboo leo kipenzi funga macho nikuonyeshe kile ambachoo utapenda BABY I KNOW YOU FEEL ME! I WANNA MARRY YOU, WILL YOU MARRY ME? OOH×2
MR BLUE
BLAck berry black berry yo
mademu wanasubiri mama heri akiniacha
me nacbir baada ya heri anizalie mapacha
penzi la kitajiri zaidi ya mali za bakhresa
hii wala sio siri nimempata bila pesa
tangu tuko watoto aa penzi motomoto, tumepitia changamotooh, baridi na jotooh. tangu tuko ghettoh tunakuka msoto mpaka leo yuko nyumbani kazi tu kulea watoto. hahah nampa sifa na sifa zinamfikia; ye ni QUEEN KA LATIFAH unaweza mwita malikia. maduu wanapiga vita kuona mzee nimetulia barbaba piga gita tuteke hizi hisia
barnaba
ahahah
Nimesalia na mengi moyonii, yanyuma siyaonii
we ndo furaha yangu, we kwangu kama peponi
penzi lako hayawani mimi.
nmhmhh nakuombea mola akulinde sana, akupe na uzima, aa ukiumwa inshaallah, najiombea mola aa, anipe na uzima, akulinde sana NAKUPENDA SANA
TWaweza seti mipango ili tutimize jamboo leo kipenzi funga macho nikwonyeshe kile ambachoo oo utapenda. baby i know you feel me i wanna marry you! will you marry me? oooh ×2
hahaahhahaahhahahahahhaha(laugh)
mr blue:
ghaberino blaack azaaa
ima the ima thee. ima the boooy!
by latifah yusuph...