![SMS ft. Linah](https://source.boomplaymusic.com/group1/M00/4C/BF/rBEeMVnOPC6AKXAaAABsJiOzRkA824.jpg)
SMS ft. Linah Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2010
Lyrics
SMS ft. Linah - Barnaba Classic (TZ)
...
.....
siijuui hii sms Mimi..
Una haki sikulaumu na una kila sababu
kunicommand , kuniuliza huyu ni nani?
Sikucommand mume wangu, Ila nalinda pendo langu, uko ndani ya himaya yangu ndo maana nina hofu na zao langu.
Mmh... uko sahihi Ila inabidi uchunguze kwanza, ukipata jibu ndo upanick sio butu unavimba..
hayo si maneno mume wangu, kuyanena mbele yangu, unazipelekea hisia zangu kuhisi naibiwa zao langu
mmhh... Basi baby nakupa message usomee, na ukisha Soma usilalamike eeh..
usiniset mume wangu, nataka kuipoza roho yangu, suluhisho la moyo wangu mpigie upoze mtima wangu..
chorus X2
tusigombane kisa message hiyo baby sijui amekosea number haipaswi kulalamika..
haiwezekani tumpigie tuweke loud speaker tumsikiee eeh, haiwezekani akosee number wakati wenye simu ni wengi X2
......
.........
verse 2
uuuhh ...uuuh...
chozi langu thamani, lanitoka chumbani eehh , namlilia Nani kama si wewee
Mi najua ni hasira zikipoa mpendwa utaelewa, hata maji ya moto hupoa mapema yakipepewa
usipoteze lengo mume wangu, nataka kuzifumba mboni zangu mpigie huyo mwenzangu ili nijue kuwa sipo peke yangu
haya kachukue charge yangu ipo kule kwenye mkoba wangu, ukisharudi tena kwangu uwee utafurahi mke wangu..
chorus
oohoooo...
ona sasa, zimefutika number, zimefutika sms kwenye inbox
aaahh.. mwanababa umezifuta maksudi mbona mi mwanzo niliziona kwa macho yangu...
chorus
Sina number, si unajua zimefutika
haiwezekani akosee number
mmmhh... wakAti wenye simu ni wengi
achana nayoo
mmhh... sawa bwana
....