![Milele Daima](https://source.boomplaymusic.com/group2/M00/4C/68/rBEeNFnOE8CAF9X9AACB6la7RaA426.jpg)
Milele Daima Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2011
Lyrics
Milele Daima - Barnaba
...
Nimeshakosa mambo mangapi
Ila bado ukanipa nafasi
Naukasema kwamba unachi
We utanipenda milele
Chozi lako mola kasikia
Na mi nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Jamni sijamroga ila ni mapenzi kwasana
Akiniona kanikumbatia nakuniwish zaidi ya jana
Mnatamani muwe mm mimi nami niwe mie nyie
Ila haiwezekani keshaniifadhi moyoni
Ameshanichunga sana kama mboni
Na mm nimemuweka rohoni
Nakama kunibwaga angeshanibwaga tangu kule nyuma
Na yule msichana wa zamanii
Aliponifuma nae eeh aliponifuma nae
Nimeshakosa mambo mangapi
Ila bado ukanipa nafasi
Na ukasema kwamba uniachi
Ww Utanipenda milele
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Ooh ukinibwaga
Ukinibwaga jua watanicheka
Watanicheka wataona nilijiweza
Kwa haya niliyonena
Haijarishi dini kabila langu na lake viweze kulingana
Yeye mguu mie size kiatu vimemfika wala sijambana
Aaaaah
Nakama kunibwaga angeshanibwaga tangu kule nyumaa
Na yule msichana wa zamani
Aliponifuma nae eeh aliponifuma naae
Nimeshakosa mambo mangapi
Ila bado ukanipa nafasi
Na ukasema kwamba uniachi
Ww Utanipenda milele
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Uuh baby
Nasema Chozi lako mola kasikia
Nimekupenda milele nakwambia
Uuuh baby aaah baby
Uuuuh kamwali we kamwali we
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima
Chozi lako mola kasikia
Nami nimekili upendo nimetulia
Nitakupenda milele daima daima daima