
Ruqaiya Lyrics
- Genre:Singeli
- Year of Release:2023
Lyrics
Ruqaiya - Meja Kunta
...
Aaaaaah mmmh
Ni kweli sina furaha aaah
Je nitaishi bila raha aah
Yake suraa yanirudia kila saa
Yake sura yanirudia kila saa
Alinijaza hadi nikajaa jina nikambadilisha
Nimwite ruqaiya
Nilivyompenda alinikataa
Yule ruqaiya
Nilivyompenda alinikataa
Kama shilole alipundua meza nikampikia
Licha ya kumbembeleza hakunisikia
Yarabiy hii mitihani mbona umenipa mimi
Ameshampata mwandani na mimba kubwa tumboni
Mbona umebadilika siuwezi ishi bila mie
Ona wanifedhehesha chumbani naongea mwenyewe
Mbona umebadilika siuwezi ishi bila mie
Ona wanifedhehesha chumbani naongea mwenyewe