
Mwagia Ndani (feat. Tin Starkid) Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2022
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Mwagia Ndani ft. Robot Boii, Native Deep & Tin Starkid - Marioo
...
mmmh bad ayeeee
shiiiiiiii
aah ah sheimbembe
tumebarikiwaa tumejipata
tumetoboa bila kodi tumejipata
tumefanikiwa tumejipata
tumeridhika na amaisha tumejipata
sisi hapa watoto wa baba hatunaga mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga kanganga
sisi hapa watoto wa baba ahatuna mbambamba
sisi hapa watoto wa kiumeni hatunaga ndandanda
tuna muogopa mungu pekee 3x )
sio wew sio yule sio kifo sio njaaa wala majukumu
ndomana
tunamwagia ndani
mmmh
mwagia ndanni
mmmh
tunamwagia ndani
mmmh
mwagia ndani
mmmh
tunamwagia ndani
mmmmh
mwagia ndani