![Yale](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/70/19/rBEeNFrW-uaAb1_1AADKHGwO7XQ150.jpg)
Yale Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Yale - Marioo (TZ)
...
""""""
Navojua kuteleza Wala sio kuanguka
na we mwanadam ujatimia utakosaje kuyumba.
wanajua umeniweza kwako siwezi furukuta.
Sikutamani hii furaha wanione sipo nayo.
ndo maan na mie sizifati zao nyayoo.
najivika ushujaa najivua jaka la rohoo
maana upweke na mie hatuwezani.
naweka pata makosa yako yote nabonyeza na delete.
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie.
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua.
Yale yalonilizaga yakafanya mpaka nikapungua.
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua.
Yale yaloniumizaga mmmmh.
Si unajua kwanza moja kipengele Sana mmmh
mboga limbwata ugari ndele.
shida kuzoea.
mpaka aje kujua me napendelea tembele ndo akanichumie
sio Leo sio kesho shida kuzoea.
mapenzi matamu ama nikiangazia na silaha kuvumilia.
japo ulimwaga Dona na nikaugulia bado majeraha uje uniuguze.
naweka Pata makosa yako yote nabonyeza na delete.
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie.
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua.
Yale yalonilizaga yakafanya mpaka nikapungua.
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua.
yaloniumizaga mmmmh
Moyo unakataa et me na we tusiwe.
tusikubali penzi liwake taa lituzimikie.
naweka Pata makosa yako yote nabonyeza na delete.
ntajisumbua kuzunguka kote ila chunga usirudie.
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua
yalee yaloniliizaga yakafanya mpaka nikapungua
yalee yaloniumizaga yakafanya mpaka nikaugua
Basi usirudie utaniumiza
Yale tz