
Nakuja Remix ft. Balaa Mc Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakuja Remix ft. Balaa Mc - Marioo (TZ)
...
nakuja×5
sa mchumba mbona hutokei mama wee nshachoka kuchoreshana nambie×2
mwenzako nshafunga mpk maviremba , mwenzako nshapaka mpk maungaunga,mwenzako nshameza mpk mavidonge , we ucniogope nshanunua me pakti zima.
kama nauli nshakutumia sa mbona mpk sasa mchumba hujatokea,ulitaka kijora nkakuzingatia , sa mbona cmu nkipiga unanikatia , nkipiga cmu mdaa woote unasema , Fanya uwahi ntakumbia nsesema na ukiwahi nitakupeleka kwa mama , sio utani yaan nimekumic sana
Mwenzako nimekumic mamilooo ucpokuja haki ya mungu ntaumia roho nakupenda me msela sio bishoo njoo bac mwenzako nimemic show
c ulitaka hela ya wigi nkakupa hata kijora kwa mobeto nshalipa c ulitaka kiepe yai nshaagiza hata kitenge kwa wolper nshalipa,cku hizi mbona muongo mamiloo mda wote we unasema upo kariakoo punguza kujiangalia kwa kioo njoo bac mwenzako nimemic show
nakuja×5
we mwanangu njoo×6 aah njoo ulione , hili hapa hili×3 aaah njoo ulione
achaaaa bahaariaaaa
jmn haipendez kuganda kama sanamu njoo kati nionyeshe mashamsham×2
wanangu uone mchezo wa kugandaganda vinanga mnaganda aaah
we unagandaa aah Baharia unaganda
........
........
........
........
aaaachaaaa bahariaaaaa
aah nikienda hukuu wanangu mtakuja kweli , nikirudi huku wanangu mtarudi kweli×2
ayaa xx me naenda hukuu wote twende hukuu me narudii hukuu wote turudi hukuu ×2