Wauwe Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Wauwe - Marioo (TZ)
...
Instrunmental
Dengula nyonga msokoto
Maana mimi nimekuja na bapa
Masha luv wee lete
Watoto Wanyonyonga party za kukata
Nyumbani mimi nimechoka Mavitu ya
Mama Nataka dhuluma dhuluma eeh Nipate ndogo ndogo baridi mwanana
Kama kuna nyama choma fire
Mapucho pucho
Akikupa kwenye kona gwaya
Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!
Maritili,
Ka dinner Na anataka piece kama wema
Japo kitu kama mkono,
Mkono Ata kwenye giza ndo kudema
Mama mama jishikilie Nabadilikia
Kilimani
Oooh mama mama nitilie Kama tandoni na ukokoni
Kama
Kuna nyama choma fire
Mapucho pucho Akikupa
Kwenye kona gwaya
Nyuma kwa mbele, kulia, kushoto Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!
Alkaida!
Na kama alkaida!
Alkaida!
Na kama alkaida!
Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!
Wauwe!