Unanionea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Unanionea - Marioo (TZ)
...
its bonga
(verse 1)
Mmmmh
Hivi kweli yupo mwenye Roho mbaya kukushinda
Maana me sijaona duniani
Hivi kweli yupo Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko Radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake kumponya nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua me kwako ndo napona Anihurumie.
Me najua mapenzi sio kwichikwichi tu
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea
Mmmh mmmh!
(chorus)
Unanionea mwenzako siwezi matukio Mazito
Unanionea,unayonipiga mieeeeh!
Unanionea.unafanya Niamini mapenzi mabaya.
Unanionea.lolooooo mmmmh!
(instruments)
(verse 2)
Na kama kuachana nimekubali sawa fanya yako
Ila sio lazima unioneshe uniumizeee!
Au kisa unajua unaniacha bado nakuhitaji.
Ndo unaona bora unikomeshe unilizeeeh!
Aaah poapoa nishajua vya utamu vinakuaga vya uchungu.
Ili doadoa Milima haikutani.
Japo najuaa mapenzi sio kwichikwichi tu,
Yanayonogaga mazoea nimekuzoea
Mmmh mmmh!
(chorus)
unanionea mwenzako siwezi matukio mazito.
unanionea.unayonipiga miee eeeh
unanionea.unafanya niamini mapenzi mabaya
unanionea.lolooo unanionea!
unanionea bure eeeh!
lolooo!
hata bonga anajua unanionea
chino anajua unanionea!