
NISAIDIYE BABA Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Najakwako Baba Mungu wangu, eh
Ngome na mwamba wa maisha yangu
Ndani ya vitanga vya mikono yako Baba
Ndimwo najificha
Mimi napata hifadhi ndani yako
Najakwako Baba Mungu wangu, eh
Oh
Ngome na mwamba wa maisha yangu
Ndani ya vitanga vya mikono yako Baba
Ndimwo najificha
Mimi napata hifadhi ndani yako, oh
Eh, (Oh) oh oh
Oh,(Ah)
Ndani yako
Nime liya naku umia
Mungu wangu
Msahada kwako nategemea
Nisaidiye Baba
Nime liya naku umia
Mungu wangu
Msahada kwako nategemea
Nisaidiye Baba
Nime liya naku umia
Mungu wangu
Msahada kwako nategemea
Nisaidiye Baba
Oh oh (Eh eh)
(Nategemea) eh eh (Nategemea)
(Oh oh)
Nime umizwa vile vile nakuchukiliwa
Nime temewa mate, naku dharauliwa
Adui wangu
Wame panga njama ajili yangu
Waki tamani mimi nife
Niondoke duniani
Uchawi, wame fanya nikiona
Kwa macho yangu (Macho yangu)
Bila haya wala kusita sita
Ndani mioyoni mwao
Naomba uwaguse leo
Oh Baba yangu (Waguse leo)
Uwakute pale ambapo wapo
Naugusa roho zao (Ah ah)
Basi wakikataa kubadilisha
Mwenendo wao (Oh)
Oh Mungu kawaonyeshe
Ukuu wa jina lako
Oh Baba yangu, eh
Waonyeshe Baba Baba Baba
Yesu Baba (Mungu wangu, eh)
Waonyeshe ukuu wa jina lako Baba
Waonyeshe Baba (Baba)
Waonyeshe Baba, nguvu zako
(Baba) yo
Wewe ni mshindi wangu
Baba Baba Baba
Waguse Baba
Waonyeshe ukuu wako
Baba yangu, eh
Nategemea kwako
Nategemea
Nategemea kwako
Nisaidiye Baba, yo yo yo
Hallelujah Baba
Prince D