Nakushukuru Yesu (feat. Dorcas Andrew) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Nakushukuru Yesu (feat. Dorcas Andrew) - Steven E. Munugwa
...
Nakushukuru Yesu, Nakushukuru Baba, Kwa wema ulionitendea sasa Nakushukuru ×2
Ulinitoa Mavumbini
Nilipokuwa ningali Maskini
Ulinifia msalabani Yesu
Sasa nimetakaswa.
Zawadi gani nitoe kwako
Kwa Wema na Fadhili zako
Naungana na Kanisa, aooh
Kuja Kukushukuru
Chorus
Baba Asante, Baba asante
Usingekuwa Wewe
Ningelikuwa wapi!
Nasema asante
Bridge 1
Nakushukuru kwa uhai wangu
Asante kwa familia yangu
Ninapolala na kuamka,
Baba hujaniacha
Nilivyo navyo, ni Mali yako
Shukrani zote upewe Bwana
Nakuimbia Wimbo mpya na Sifa
Nasema Asante
Nakushukuru kwa masomo yangu
Asante Baba kwa Biashara zangu
Ninacho kibali kwa neema
Nasema Asante.
Chorus
Baba Asante, Baba asante
Usingekuwa Wewe
Ningelikuwa wapi!
Nasema asante
Bridge 2
Neema ya Bwana wetu Yesu
Na upendo wa Mungu Baba yetu
Na Ushirika wa Roho mtakatifu
Vi pamoja nasi ×2
Vi pamoja na Mimi Steven Munugwa
Vi pamoja na Mchungaji na kanisa
Kwa Maskini na Tajiri
Ni kwa ajili yako
(Hiyo neema..)
Neema ya Bwana wetu Yesu
Na upendo wa Mungu Baba yetu
Na Ushirika wa Roho mtakatifu
Vi pamoja nasi ×2
¶¶¶¶¶